Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Imefanyika interview hapa Udom siku za hivi karibuni, lakini mpaka sasa ni Giza totoro hatujui ni kipi kinacho endelea Tunashindwa hata kutoka tukihisi tutaitwa kesho kwa yeyote mwenye habari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumekuwa na tarifa zisizo kamili muda mrefu kuhusu hawa quality service mara matapeli mara kweli, hatuelewi so mwenye tarifa sahihi na kwa utafiti atujulishe jaman eeeeeh!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wadau? nawasilisha ombi la kuomba msaada wa kazi au kibarua cha muda katika kampuni yoyote, nina shahada ya utawala, nina uzoefu wa kazi za Sales, Marketing and Administration...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF, Ni kweli Prtesident's Delivery Bureau (PDB) walitangaza nafasi nyingi na tayari wameshaanza kufanyisha watu Interview kupitia Deloitte. Cha kushangaza pamoja na usahili kufanywa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama wewe ni mwalimu na umepangiwa wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani tutafutane
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume niliyehitimu diploma ya IT mwaka jana (2013) katika chuo cha University of Dar es Salaam Computing Centre ( UCC) napenda kutumia fursa hii kuomba kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Mimi ni daktari wa binadamu niko Nagpur India, naomba msaada wa taarifa kwa mwenye nayo kwamba wizara ya afya huko Tz wanatarajia kutoa majina lini ya walotuma maombi? Nami ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nilihitimu chuo mnamo mwaka 2011, fani ya IT. sijabahatika kupata kazi hadi sasa! ila nimekuwa napata vibarua vidogo vidogo! nipo vizuri katika upande wa web design kwa kutumia WordPress, pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu kwa wale waliofanya usaili wa kuandika UDOM, kama kuna yeyote anaejua kinachoendelea tujulishane.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji Environmental or Civil engineer mwenye uzoefu na kazi za maji awe tayari kufanya kazi njombe vijijini ndiko mradi ulipo mawasiliano 0784876210
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Company:Contractors Registration Board (CRB) Location:Dar Es Salaam POSITION DESCRIPTION: The Contractors Registration Board (CRB) is a government autonomous regulatory body established by...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nina miaka 24 nimemaliza mwaka jana kozi ya Asasi za Siasa na tawala za jamii UDSM, natafuta kazi inayoendana na kozi iyo au ya masuala ya computer, sifa zangu ni uaminifu, na kujituma ambae ana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Tumia mtu ambaye unafahamiana nae (ndugu, jamaa au rafiki) Ambaye yupo katika ofisi ambayo imetangaza ajira husika ili aweze kufanya lolote aliwezalo upate nafasi hiyo. Kama hauna ndugu...
5 Reactions
45 Replies
11K Views
Wadau. TANESCO jana wametangaza nafasi za kazi kupitia gazeti la Daily News, sijabahatika kulipata hilo gazeti, mwenye taarifa aweke link tafadhari, au taarifa zaidi. Nawasilisha.
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Kama kuna mwenye uelewa kuhusu hizo nafasi, atujuze tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Research Engineers, Power, Systems (Mechanical & Electrical) Company:Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) Location:Dar Es Salaam POSITION DESCRIPTION: The Tanzania Electric Supply Company...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Human Resources Manager Location: Dar es Salaam, Tanzania Level: National C2 Gross salary: Tshs 3,848,978.4 and other benefits Contract Type: Open ended Job reference Number...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Jaman sijaelewa why inakuwa hivi wandugu.Yan nilipost hum ombi lang la kusaidiwa kazi yoyote cause maisha yamekuwa magumu jamani, lakini watu waliniahidi vingi halafu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom