Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanajamvi habari zenu! Jamani naomba msaada kwa yeyote anaelijua kampuni/taasisi ya organia ltd inahusika na nini? Kwa maana wameniita kesho kwa interview saa nne na sikumbuku niliomba post gani...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
GENDER AND NUTRITION SPECIALISTApply before: 31 Mar 2014 [*=left]COMPANY: TANZANIA HORTICULTURAL ASSOCIATION (TAHA) [*=left]Location > Arusha Position Type > Full Time Organization Type >...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa aliyewahi kufanya interview TICTS au mwenye kujua chochote anisaidie wakuu , nmeitwa hapo kwa ajli hyo, sijajua ni written or oral na zinakuaje
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wapendwa wana Jf Poleni na Majukumu ya kila Siku ktk ujenzi wa Taifa. Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 25, Nimhitimu wa chuo Ngazi ya CHETI katika fani ya ugavi Yaani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu yangu bofya GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly, then Create Your Account. Yaani utakamilisha usajili wako ndani ya dakika 5 tu. Hii ni kazi ya mtandaoni! Hakuna...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
International Labour Organization VACANCY ANOUNCEMENT Information Technology and Building Maintainance Assistant Introduction: general information about the context in which the official will work...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna mtu amepangiwa ualimu Grade A(shule ya msingi) Mkoa wa Pwani wilaya ya Rufiji anatafuta mtu aliepangiwa Arusha au maeneo ya karibu na Arusha ili wabadilishane nae.Tafadhali kama unamfahamu...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
  • Poll Poll
6 SWAHILI LANGUAGE AND CULTURAL TEACHERS NEEDED, TO TEACH IN OUR LONDON AND BIRMINGHAM AFRICAN CULTURES ACADEMIES, 1.TO TEACH AND INSTRUCT LEARNERS & RESEARCHERS, VARIOUS SWAHILI CULTURES...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau natanguliza salam. jamani mwenye genuine info kuhusu wale waliofanya usahili wa kuandika UDOM na ivo kusubiria kuitwa kwenye usahili wa pili atujuze, maana mda naona umepita vile.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Access Bank wameanza kupiga simu kwa walioomba, interview ni tarehe moja April, Mwanza
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Yoyote mwenye update kuhusu interview ya TPDC,
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni dada mwenye umri wa miaka 24, anatafuta sana sehemu ya kujitolea mwaswala ya procurement au store japo apate uzoefu, msaada wenu tafadhali pia yuko tayari kwa kibarua chochote halali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za alasiri wadau? nichukue fursa hii kujitakia mimi mwenyewe na wengine woooote wanaotegemea kufanya interview ya NHIF post ya CFOO, pale TEC Kurasini! Bwana wa majeshi aliye hai...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Dear Jamii Forum Members, May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI) MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu matumaini yangu ni wazima wa afya! Mimi ni miongoni mwa hawa graduate wa mwaka 2013, leo napenda niwashauri wale tu ambao hawana kigogo yoyote au mtu yoyote wa kumpigia pande kwenye nafasi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wapendwa habarini za majukumu kuna hawa jamaa wa Frontier Data Corp walitangaza nafasi za Part Time Researcher kuhusu markertinga katika baadhi ya mikoa hapa nchini deadline ilikua tar 3 March...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Embu cheki humu kama kuna madini yatayokufaa... Vince Forum
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana jf tulipofika tanzania sasa si pazuri, kwani kama wewe ni mtoto wa maskini , huna mtu wa kukupigia pande kwa kweli inakuwa ni vigumu sana kupata ajira. Pia rushwa ya pesa na hata ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni muhitimu wa diploma katika maendeleo ya jamii. Kwa yeyote watanzania wezangu naomba kama kuna fulsa mnisaidie kupata kazi ya kujitolea katika ngo yeyote na popote nchini tanzani nipo tayali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye info kuhusu mpunga yaan take home wanaoyochukua hawa watu. Naomba anijuze.
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Back
Top Bottom