Habari za leo wadau? nawasilisha ombi la kuomba msaada wa kazi au kibarua cha muda katika kampuni yoyote, nina shahada ya utawala,
nina uzoefu wa kazi za Sales, Marketing and Administration zaidi ya miaka 3, mawasilano ni pm, thx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.