Ualimu Mafia

Ualimu Mafia

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kama wewe ni mwalimu na umepangiwa wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani tutafutane
 
Vipi vyumba sh.ngapi kwa mwezi na umeme na maji vipo?

Kisiwa cha Mafia ni kikubwa kiasi kina kata kama 7 hivi sehemu yenye umeme ni centre Kilindoni na Utende.
 
Shule nyingi zimejenga nyumba za walimu
ukipata ya kupangisha haizidi Tsh 20,000/=
 
duh ils usafiri mafia ws kikafiri maana nyamisati kwenda mafia ni balaa......nyie mnapanda ndege au
 
Daah asee wanasemagamaisha popote lakini mimi kisiwani hapana asee. saikolojikali Najiona kama siko huru asee
 
Back
Top Bottom