Computer Technician Wakujitolea/Volunteer

Computer Technician Wakujitolea/Volunteer

mocran

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
45
Reaction score
8
Salamu wakubwa.

Mimi ni kijana wa kiume niliyehitimu diploma ya IT mwaka jana (2013) katika chuo cha University of Dar es Salaam Computing Centre ( UCC) napenda kutumia fursa hii kuomba kwa mwenye kampuni, taasisi binafsi au serikalini, shule au NGO kuomba kazi/shuguli YAKUJITOLEA ili kuniweka busy na kuongeza ujuzi katika fani yangu kuliko kushinda nyumbani tu.

Mwenye nia ya dhati yakunisaidia mawasiliano yangu email; modernjulius1@gmail.com
 
mimi npo dar es salaam vipi mkubwa unaweza kunisaidia au wewe upo mkoa gan shigegele
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom