Natafuta Kazi Jamani

Natafuta Kazi Jamani

Joined
Mar 19, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Nina miaka 24 nimemaliza mwaka jana kozi ya Asasi za Siasa na tawala za jamii UDSM, natafuta kazi inayoendana na kozi iyo au ya masuala ya computer, sifa zangu ni uaminifu, na kujituma ambae ana nafasi iyo atume namba yake asanteni sana
 
Mkuuu umesoma mambo ya siasa. Hayo mambo ya coputer unajua code za java au php. Usikate tamaa zidi kuomba kwenye vyama vya siasa
 
Kaka nenda kwenye siasa tu.
Kazi za computer unajua codes wewe? Kama unajua nipm nikuite kwenye interview..... strisctly OO java and PHP
 
Nimesoma computer nina vyet vitatu frm ucc mambo ya graphc design hata data entry mtaan pagum msisikie wazee.
 
mie graduate wa law naomba msaada wenu ajira yeyote halali nipo tayari
 
Nina miaka 24 nimemaliza mwaka jana kozi ya Asasi za Siasa na tawala za jamii UDSM, natafuta kazi inayoendana na kozi iyo au ya masuala ya computer, sifa zangu ni uaminifu, na kujituma ambae ana nafasi iyo atume namba yake asanteni sana
Wewe kweli kilaza, yaani unatafuta kazi halafu unayetaka akupe kazi ndio akupe namba? Ndio graduate wa siku hizi mkikosa kazi mnaanza kulalamika.
 
Wewe kweli kilaza, yaani unatafuta kazi halafu unayetaka akupe kazi ndio akupe namba? Ndio graduate wa siku hizi mkikosa kazi mnaanza kulalamika.
Hata mimi namshangaa sana. Mwenyewe hajaweka namba anataka atumiwe sijui kwa njia gani? Nilitaka kumsaidia lakini anaonekana hayupo serious huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom