Imefanyika interview hapa Udom siku za hivi karibuni, lakini mpaka sasa ni Giza totoro hatujui ni kipi kinacho endelea
Tunashindwa hata kutoka tukihisi tutaitwa kesho
kwa yeyote mwenye habari tujulishane
mnamo mwaka 2011 udom walitoa nafasi hizo hizo ambazo waliita watu kwenye kuandika na bahati mbaya hawakuita kwenye kuongea. Na mwaka 2012 waliita nafasi hizo hizo kwa idadi ile ile na angalau hapo watu waliishia kwenye kuongea.Ninachojiuliza mwaka huu itakuwa kama miaka hiyo ya nyuma?au angalau watabadilika?