Kwa mlioko Tanzania, msaada tafadhali

Kwa mlioko Tanzania, msaada tafadhali

Joined
Sep 9, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Habari wanajamvi.

Mimi ni daktari wa binadamu niko Nagpur India, naomba msaada wa taarifa kwa mwenye nayo kwamba wizara ya afya huko Tz wanatarajia kutoa majina lini ya walotuma maombi? Nami ni mmoja wao.

Kibali changu cha kuishi huku kinaisha hivi karibuni badala ya ku-renew natarajia kurudi nyumbani kujenga taifa langu.
 
Wiki ijayo wanatoa.lakini ni kweli umedhamiria kurudi Tanzania!?.Karibu tutengeneze katiba mpya.
 
Wiki ijayo wanatoa.lakini ni kweli umedhamiria kurudi Tanzania!?.Karibu tutengeneze katiba mpya.

narud dr.nilijitoa miaka 3 ya kuwajibika ugenini niongeze maujuzi.asant kwa taarfa ako.
 
Back
Top Bottom