Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 521
Ndugu Wana JF,
Ni kweli Prtesident's Delivery Bureau (PDB) walitangaza nafasi nyingi na tayari wameshaanza kufanyisha watu Interview kupitia Deloitte.
Cha kushangaza pamoja na usahili kufanywa na Deloitte ambayo ni kampuni nayojitegemea, yale mambo ya Technical Know Who badala ya Technical Know How yapo palepale.
Zipo taarifa za uhakika kuwa zipo nafasi ambazo tayari baadhi ya watu walishaanza kazi kabla hata Interview hazijafanyika. Kwa mfano yupo dada mmoja ambaye tayari ameshaanza kazi kama Mkugenzi wa Mawasilano wakati hata majibu ya Interview ambayo iliyofanyika wiki iliyopita hayajatoka. Habari za uhakika zinasema kwamba huyo dada ambaye awali alikuwa akifanya kazi Airtel anafahamiana vizuri na Afisa Mendaji Mkuu wa PDB Bw.Omar ambaye alishateuliwa na Rais na alishaanza kazi. Pengne Bw. Omar ndiye aliyemwita na kumpa kibarua huyo dada bila kujali Usahili unaondelea.Mliofanya Iterview kwenye nafasi hiyo poleni kwani huenda pamoja na qualification zenu mmekwenda kumsinikiza tu huyo mdada. Hii ndio Bongo bwana !!!