Habari wana JAMII FORUM,
Naomba nianze kutanguliza samahani kwa wote nitakaokuwa nimewakwaza kwa namna moja au nyingine.
Mimi ni kijana nilie maliza degree ya Biashara (BBA) ktk chuo kikuu cha...
Wana jamvi naomba msaada kujua hii kampuni ya Transevents Marketing Ltd Wakoje? Nimeitwa kwenye interview, Wanalipaje? Ni kampuni ya uhakika, au ndo ya hivyo hivyo. Nawakilisha.
Wana JF kuna mtu yeyote ambaye alifanya aptitude test pale Mlimani ya PPF position ya Operational trainee, mwenye updates zozote? Tunaomba atujuze tafadhal. Asanten
Tangu juzi nimejaribu kuupload vyeti kwenye website yao ambapo file linalotakiwa ni PDF cha kushangaza inakataa nakusema error upload PDF document wakati file lenyewe lipo katika mfumo huo wa...
Naomben kuuliza uzoefu wa kaz,wew ndo umetoka chuo unatafta kaz hapohap unaulizwa unauzoef wa kaz,ss uzoefu huo utaupata au kuna vyuo vya uzoef wa kazi,msaada
Heshima kwenu wadau,
Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira nimeonelea ni bora nianze walau na kazi ya ulinzi.Ingawa makampuni ya ulinzi yako mengi lakini kiasi fulani yanatofautiana kwenye...
Angali hili tangazo hapo chini:
POSITION DESCRIPTION:
TZ Photostudio LLC is launching a new site finding modeling talent in your area. We are a small organization that does freelance photo...
wadau nimegraduate mwaka 2011, ila sijafanikiwa kupata kazi ya professional yangu, it pains, ila nimekuwa nikiitwa interview nying, nakosa, ila kuna moja niliomba tutorial assistant NIT...
wadau tusaidiane mawazo hvi kuna uhusiano gani kati ya mwonekano mzuri wa mtu na utendaji wake bz baadhi ya organisation na makampuni wao kigezo hicho kinamata sana.....
Habari zenu wanaforum,
Kuna hawa jamaa wa TaEsA wako hapa chuoni wanafundisha jinsi ya kuandika cover later and CV, Je naomba kuuliza swali
@Hivi serikali ya Tanzania imewaajiri hawa watu ili...
Habari wana JF.
Hivi kwenye intavyuu room ukiulizwa maswali haya huwa unayajibu vipi?
1.What is your salary expectation?
2. Why looking for the other job?/ Why quiting the previews job?
nipeni...
Natafuta kazi (full time/ Part time)
Uzoefu zaidi ya miaka mitatu katika mambo ya fuatayo:-
· Preparation of financial statements· Preparation of annual budgets.· Preparation...
Wakuu habari,naombeni ushauri wa kimawazo hapa-:mimi ni mwanafunzi wa taasisi moja hapa dsm nasoma degree ya procurement mwaka wa pili kila nipitako naona watu wanaangaika kuhusu suara la...
Salaam ndugu zangu.
Ni juzi tu UDOM wametoa majina ya watu wa kwenda kufanya usahili kwa kada za wanataaluma na waendeshaji. Kilichonifurahisha kuhusu UDOM kwa mara hii ni hiki; wametoa mambo ya...
wakuu ni baada ya kujikusanya ndipo mwaka jana niliamua kusoma kozi fulani hapa utumishi kwa ngazi ya certificate(ukutubi)
sasa kuna matatizo binafs yalinifanya nishindwe kuwasilisha field...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.