nenda kasikie wito usipokukuna acha, usipende sana kusikia kutoka kwa mtu au labda hauna hitaji hilo... nakupa mfano hai, ,waka jana kuna kampuni ya kichina inaitwa sunshine group,kuna jamaa alikua naweka tangazo lake hapa na lugha mbovu ya kingredha, mbaya zaidi email yenyewe ilikuaga gmail basi watu hapa walikua wanamtimua balaa...wanamuona mwizi tu, nilijaribu kuomba nikaenda interview lkn sikua nahitaji sana nikaongea na yule jamaa nimuweke rafiki wangu akasema apeleke cv bahat nzuri akaipata ile kazi..mshahara ulikua 250,000/= unapanda kila baada ya miez mitatu na pia kuna bonus, nikikueleza level alizo huyo rafiki yangu hata mi namuonea wivu.....so akili za kuambiwa changanya na zako, kasilikilize kwanza.