Wakuu habari,naombeni ushauri wa kimawazo hapa-:mimi ni mwanafunzi wa taasisi moja hapa dsm nasoma degree ya procurement mwaka wa pili kila nipitako naona watu wanaangaika kuhusu suara la ajira,sasa basi naombeni ushauri ni nini naweza kukifanya kwa sasa kinachoweza kikanisaidia baadae baada ya kumaliza chuo ili niwe na uwezo wa kupata senti mbili tatu.
NB-Ninapoishi napata internet ya kutosha so hata kama una ushauri wa kuhusu online activities let me know your advice.
NB-Ninapoishi napata internet ya kutosha so hata kama una ushauri wa kuhusu online activities let me know your advice.