Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

nimeitwa kwny interview kada mbili tofauti katika taasisi moja, muda wa mtihani wa mchujo na mahojiano ni mmoja. Kwa aliyewahi kumtokea hivi au mwenye uzoefu yeyoye kuna possibility ya kufanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani washika dau nilisikia kazi zimetangazwa oxfam-shinyanga/tanzania lakini sijapata chanzo na sijui mwisho wa application ni lini na aina ya kazi zilizotangazwa,tafadhali nijuzeni alieziona.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
hello wanajamvi hili, nimebahatika kutumiwa sms na kijana mmoja aitwaye Raymond Kilambo anatokea Transnet Ltd. kuhusu kaz, he is asking for 40 thousands first and letter 300 thousands,as a...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf nimemaliza chuo mwezi wa April hivyo natafuta kazi ya uuguzi na ukunga elimu yangu ni Ngazi ya cheti. Private hospitals and NGO's. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Want to become financially free and become the kind of a person you like? You want more time spending with your family and get out of more working hours stress? Want to be a big business owner...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi Saccos umeajiriwa km mhasibu unaweza kulipwa shs.ngapi? Naomba ufahamu wenu ndugu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba mnifahamishe scale za mishahara ya client officer,client assistant na advisor.
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Please download attachement ya kazi from Sumatra.. Cheers!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wana jf kuna updated zozote toka NHC kwa post walizotangaza almost two months ago
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu,hivi nani ana updates za hawa jamaa maana nimeona kimya wakati kwa nchi za wenzetu interview ishafanyika,vipi hapa tz any udate au kama kuna mtu kafanya interview afunguke basi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF,nahitaji kufaham NGO's kama tano hivi zinazojishughulisha na mazingira zilizopo mkoa wa k'njaro wilaya ya moshi mjini,ahsante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anayejua hii kampuni kuna mdogo wangu amepigiwa simu jumamosi aende holiday in hotel akafanyiwe recruitment anadai aliomba nafasi ya sales representative, aliyewahi kufanya kazi na hii kampuni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Asalaam alaikum, Nafasi za kazi Qatar Flour Mills,(QATAR) kwa Muslim tu. Kwa niaba ya Qatar Flour Mills napenda kuwatangazia wazanzibar wenzangu waliopo hapa Qatar au Zanzibar nafasi za...
1 Reactions
102 Replies
21K Views
Hivi wanaforum eti kati ya hivyo viwili, kipi kinaangaliwa zaidi ukienda kuomba kazi ukiachana na CV kwa ujumla. Kipi kinaangaliwa sana kati ya chuo ulichosoma au GPA ulizopata ukienda kuomba kazi.
0 Reactions
77 Replies
13K Views
Wakuu, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi yanayohitaji mtu wa wa cheo cha chief of party. Nimekuwa nikijiuliza sana huyo chief of party huwa anafanya kazi kazi gani hasa na vigezo vya elimu na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walio tayari wanitumie contact zao inbox, nipo Morogoro
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii forum, jamani natafuta kazi ya udereva, nipo mwanza mjini hapa, kwa yoyote mwenye kazi au kujua ani pm please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu chuo cha Uhasibu arusha kwa ajili ya kwenda kufanya interviwe kwa nafasi ya Computer Technician nafasi ambayo ilihitaji mtu mwenye Cheti,kwa sasa nafanya kazi hiyohiyo chuo fulani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habri wana Jamvii. Siku za hii karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijikampuni vinavyotafutia watu ajira. Hivi unafikiri uwepo wa vijikampuni hivi unachangia tatizo la upungufu wa ajira ama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu...hapa mjini daslamu kuna vyuo vingi sana, vinavyopatikana gorofa ya tano tu ukifika ya sita uko njee ya chuo, natafuta kimoja nikafundishe masomo ya jioni...nina degree ya Procurement and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom