Hii System ya PPF Website vipi?

Hii System ya PPF Website vipi?

nyanja255

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
103
Reaction score
59
Tangu juzi nimejaribu kuupload vyeti kwenye website yao ambapo file linalotakiwa ni PDF cha kushangaza inakataa nakusema error upload PDF document wakati file lenyewe lipo katika mfumo huo wa PDF. msaada please kwa mwenye kuelewa.
 
Hilo file linaukubwa gani?
Kama sikosei wanataka file lisilozidi 5 MB.
 
punguza ukubwa wa file kaka, weka copy za vyet muhim tuu, kama cha chuo,form6,form4,std7
 
Endelea kujaribu nami nilipata hilo tatzo lakin badae ikakubali. Pia hakikisha internet vizur. Mara nying usiku kama saa5 au 6 atmsphere inakuwa tulivu sana na netwok inakua less weighted
 
Endelea kujaribu nami nilipata hilo tatzo lakin badae ikakubali. Pia hakikisha internet vizur. Mara nying usiku kama saa5 au 6 atmsphere inakuwa tulivu sana na netwok inakua less weighted

Hivi mkuu ukishaaply feedback unayopata inasemaje? Coz nimetuma ila sina uhakika kama imeenda; just to be assured.
 
This is your chance you have to take it with all of your resources..kupunguza idadi ya vyeti ni njia mojawapo japo sio nzuri sana..ushauri: vyeti vyako vimescaniwa kwa size kubwa sana..unaweza kuvrescan ukapunguza ukubwa na vyote vikawa na ukubwa chini ya 5mb
 
Back
Top Bottom