Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

M-POWER(off grid)_ni kampuni inayo juhusisha na umeme wa jua, solar za kukodisha zenye uwezo wa kuwasha taa,radio na kuchaji simu. ina mitambo ya kisasa ambayo malipo yake yana fanana na luku...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
natafuta kijana anaeweza kuchoma Nyama ya kuku,mbuzi na ng'ombe.tuwasiliame kwa mamba 0784 457626
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tanzania graduate association inawatangazia graduate wote, kuwa kutakuwa na mkutano mkubwa wa vijana wanaotafuta kazi na ambao wapo makazin. Mkutano utafanyika siku ya jumamosi hii ya tarehe...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo na pia ni fundi wa welding naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We are a global health and wellness company that are cash rich and debt free that make it possible for you to own your home based business. We are looking for people to join my rapidly expanding...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani nauliza kama kuna yoyote mwenye taarifa za uhamiaji. Kwani sielewi kinachoendelea
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Taasisi ya Greenbird inwatangazia nafasi za kazi katika chuo chake kilichoko Mwanga kilimanjaro Qualification. :BED SCIENCE, KISWAHILI&HISTORY, ENGLISH & GEOGRAPHY Uzoefu unaweza kukuongezea...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu Samahani nina shida kidogo,nahitaji kuifahamu hii NGO kuna mtu wangu wa karibu kapata offer ya kazi hapo,inaitwa Earthlife Africa (ELA),is it a reputable NGO? vipi kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila nikijaribu kupload app. letter & Cv kwenye nafasi za Benefit Trainee, PPF inafika kama 92% kupload inagoma. Naomba msaada ninakosea wapi? Natanguliza shukrani kwa wanajamii wenzangu
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana salama jamani, sasa karibia mwezi tangu nipeleke Cv yangu pale Aga Khan Hospital ya kuomba nafasi ya kuvolunteer kwa nafasi ya Umeme lakini mpaka sasa naona kimya, Hivi niendelee kuvuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yeyote aliyesomea mambo ya NEW MEDIA na ana cheti, anipm namba yake ya simu, jina lake kamili na chuo alichosomea.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf nahitaji backup systeam yenye uwezo huo, maana naona umeme wa siku hizi haueleweki, mwenye kudeal na haya makitu anipm thanks!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Send your CV, Certificates AND A MOTIVATION LETTER TO: job@selous.com, cc gilbert@selous.com Should be well trained with proven work experience, necessary skills and knowledge to perform the job...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimemaliza degree yangu ya mass communication mwaka jana 2013, niko dar es salaam natafuta kazi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mama mtu mzima,mwaminifu, shemas wa kanisa.. Ajira yoyote kama kuuza dukani etc.. 0716154531
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vipi kuhusu fani ya usanifu majengo ( architecture) na ujenzi kwa ngazi ya diploma na degree?
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi wa horti tengeru nachukua diploma ya horticulture,naishi hapa hapa Arusha.VIPI nitapataje nafasi ya kufanya kazi temporary kipindi cha likizo ya kumaliza mwaka wa kwanza?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani, siku ya jana kwa wale waliokuwepo BMTL kuomba nafasi za Sales Excutives walisemaa kuanzia leo asubuhi wataanza kupiga simu. HUKU KIMYAA, VIPI KUNA WATU WAMESHAPIGIWAAA?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
www.ajira.go.tz
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajamii Machache sana katika majina yapo nje ya border line as scanner yangu inaruhusu ukubwa wa A4 mwisho, na kukata page imeshindikana kutokana na limitation ya attachments jukwaani...
0 Reactions
122 Replies
31K Views
Back
Top Bottom