Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

habari ndugu, natafuta nafasi ya kufundisha shule ya private kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nimesoma BSc. Ed (chem. na biol) udsm 2010/2013. Unaweza kunitafuta kwa namba hii; 0757312093, nitumie sms...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba penye shule yeyote palipo na uhitaji wa mwalimu wa chem. na biol. anitafute kwa namba 0757312093 nahitaji mkataba wa mwaka mmoja. Nina BSc.Ed-udsm 2010/2013. Unaweza kunitumia sms...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau napenda kuulizia kama kuna mwenye information za hizo nafasi ambazo zilitangazwa October hadi November. Ilionyesha kama walikuwa wanahitaji watu haraka....kwa anaejua kinachoendelea,je...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
check kwenye website ya tpdc wametoa schedule ya oral interview. link hiyo hapo http://www.tpdc-tz.com/Call%20for%20Oral%20Interview.pdf Haya wadua wote mliofanikiwa kupita usahili wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Guys salama jamani,kesho Ijumaa kuna best yangu anapeleka barua ya kuomba field pale Abb tz ltd,je napo vp wanachukuaga watu wa field
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wenu mpaka sasa life ngumu mno, nilikuwa chuo mwaka wa tatu lakn bahati mbaya bodi ya mikopo hawaja niwezesha kwa hivyo nimeshndwa kumalizia mwaka wa tatu, natafuta kazi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu,Naomba mwenye uelewa anisaidie ni web site gani naweza kuwa naitumia kucheki nafasi za kazi kwenye standard chartered bank. NIPO SERIOUS NDUGU ZANGU
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina baba yangu mdogo ni Professor, amestaafu pale UDSM ni Professor alikuwa anafundisha POLITICAL SCIENCE. Baada ya kustaafu amepewa mkataba wa miaka miwili ambapo anakuwa akifanya kazi kama...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
nimeitoa hii kutoka Habari leo la jana ukurasa wa 11, pale kwenye matangazo madogo madogo, nafasi za kazi Dubai, umri kati ya 18-35.... piga 0715 063 534 na 0718 339 433. Nawasilisha...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Mwenye kujua,uwepo wa kazi sehemu yeyote nina degree ya coop management & account
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza kwa wale waliofanya oral interview pale TPB HQ kuna mtu aliyeitwa tayar? natanguliza shukurani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwenu tena wana JF, leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye e-mail yangu kuwa nimechaguliwa kuanza TRAINNING ktk kampuni tajwa hapo juu ila natakiwa kutuma pesa elfu 50 za kitanzania. Naombeni mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello JF, nimeitwa written interview ijumaa tarehe 25/4/2014 kwenye bank tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu kuhusiana na hii bank kwa upande wa mishahara, namna wanavyowatreet wafanyakazi naomba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
tafadhali naomba kwa mweyekujua kuhusiana na ajira Jwtz zitatangazwa lini maana nilazma watoe nafasi atakama ni kwakupitia JKT.
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Mliomba kazi tembelea hapa kuona majina yenu au nunua daily news ya leo. Nafasi za Kazi na Tenda kila la heri ===== Hii hapa====== Nenda hapa: Tanzania Petroleum Development Corporation...
1 Reactions
43 Replies
56K Views
Wakuu.. kuna tangazo la usaili sekretarieti ya ajira! naomba kujuzwa ni nafasi gani pia mwenye uwezo atuwekee hapa maana Pdf inasumbua...Karibuni wadau
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa vijana wenzangu ambao hawajabahatika kupata ajira au kujiajiri zingatia haya;- (1)Achana au punguza matumizi yasiyo ya lazima kama vile unywaji wa pombe ili uweze ku-save pesa zako hizo...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRIME MINISTER’S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENTTANZANIA STRATEGIC CITIES PROJECT (TSCP) RE-ADVERTISEMENT INVITATION FOR APPLICATIONS NATIONAL...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wanajamii, Kuna tangazo la kazi nimepokea kuhusu kampuni tajwa, nimejaribu ku-google iko registered na TCRA muda mrefu lakini inasuasua kwenye kuanza kwake. Kwenye form kuna physical...
5 Reactions
47 Replies
22K Views
Back
Top Bottom