Taarifa Zilizonipata ni kwamba Zima Moto kesho. Be patient na usikose kuja JF kusoma jina lako wewe uliye-apply.
Updates:
Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check...
Wadau mimi ni mwanachama mpya kwenye forum hii, naulizia kuwa ukiitwa interview 2 tarehe moja unafanyeje, je unaweza
kuomba upande mmoja kukupangia tarehe nyingine au kisheria hairuhusiwi?
Wana JF kilimo kwanza
Ndugu zangu akuna asiye jua kwamba tanzania asilimia kubwa wazazi wetu ni wa kulima kwa hiyo na sisi ni zao la wakulima.
Ili nchi masikini ikuwe lazima itanzame mchango...
Habari zenu wana JF!
Imepita miaka miwili sasa tangu kijana huyu mtanzania amalize Advanced Diploma ya Computer Science hana kazi!
Wiki iliyopita anakutana na kazi eneo ambalo hakutegemea...
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 26, mtanzania, najituma na niko tayari kufanya kazi yeyote ile. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi yeyote napatikana kwa 0752777680...
Gk mwalimu wa shule ya msingi tarime mjini.
Natafuta wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka wilaya ya tarime (halmashauri ya mji) kwenda longido mkoa wa Arusha Kwa yeyote yule atakaekuwa...
Habari zenu wadau,
Kama kuna yeyote mwenye taarifa ya ajira za magereza lini zitatangazwa tunaomba atujuze mana tulisikia kwamba mwezi huu watatoa lakini mpaka sasa kimya na mwezi ndio huoooo...
Gk mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya ta tarime mjini.
Natafuta wakubadilishana nae aje tarime mjini mkoa wa mara. Mimi niende mkoa wa Arusha wilaya ya longido.
Wapendwa mu hali gani?Haya mashirika mawili yalitangaza nafasi za kazi siku kadhaa zilizopita,me na wenzangu tumekua tukisubiri taarifa yoyote lakn kimya,vp jamani kuna anaejua lolote?
Jamani kuna habari zilienea huku pamoja na ratiba kutolewa na mmoja wa member hapa kwamba shortlist inatoka leo 18/4/2014 vipi wakuu kuna ukweli wowote hapa????
Habari,.nahitaji dada wa ndani wa kazi,mchapakazi na mwaminifu,kazi sio nyingi na za kawaida,hakuna mtoto mdogo wa kumuangalia,kuna vijana watatu tu wakiume na wote ni wakubwa!.umri kuanzia miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.