Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Heshima kwenu wadau,
Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira nimeonelea ni bora nianze walau na kazi ya ulinzi.Ingawa makampuni ya ulinzi yako mengi lakini kiasi fulani yanatofautiana kwenye upande wa mishahara.Mfano wa hayo makampuni ni KK security,G4S,KNIGHT SUPPORT,ULTIMATE SECURITY nk.
Je ni kampuni gani kidogo ina unafuu kwenye upande wa malipo ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonipa majibu ya swali langu.
Asante