Salary scale ya Client Officer at Advans Bank

Undisputed

Member
Nov 8, 2013
40
0
Wana jamvi naombeni kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa mshahara wa Client Officer at Advans Bank. Kuna ndugu yangu kaniambia miezi mitatu ya mwanzo hawalipi mshahara wanalipa posho tu, je kuna ukweli katika hili? Naombeni msaada tafadhali.

Nawasilisha.
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,992
2,000
Hao wababaishaji sana,nilifanya nao kazi wakati nimemaliza chuo mwishowe nikaamua nisepe tu,kama watakua hawajabadilsha,basi take home yao ni 180k kwa mwezi.
 
Undisputed

Member
Nov 8, 2013
40
0
Thanks Mkuu! kwa mshahara huo bora nimsaidie mama kusugua masufuria kwani utaishia kwenye nauli tu na kodi ya chumba
 
Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,409
2,000
Thanks Mkuu! kwa mshahara huo bora nimsaidie mama kusugua masufuria kwani utaishia kwenye nauli tu na kodi ya chumba

Hapo ndipo vijana tunapokosea. Kazi ikipatikana wewe fanya ila uwe na malengo yako cha msingi usikubali kuingia mkataba mrefu. Hapo ndiyo sehemu ya kupatia ujuzi huku unaendelea kutafuta green pastures.
 
Undisputed

Member
Nov 8, 2013
40
0
Ujuzi ninao wa kutosha tu ndugu yangu! kazi yenyewe ipo mwanza, biashara zangu zinaingiza zaidi ya hiyo sa c bora nimsaidie mama kusugua sufuria! mama ntilie inalipa atiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nambukwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
243
195
Hahahahahha!! Wewe kazi si mfanyaji? We ulijua kazi iko mwanza kwann uliomba? Kwanza ni wewe au mdogo wako? Sijaelewa!!

Anyway ukwel n huu, probation utakayolipwa posho na si mshahara miezi mitatu! Then probation inaanza miezi sita, hapo unatakiwa kuzalisha si chini ya 80 milioni. Hakuna insuarance na kodi na NSSF unakatwa na bonus inakatwa kodi. Take home kama sh 360000 wakati huu.

Unaweza kufukuzwa kazi saa yeyote kwa kosa dogo kama la kumuuomba mfaransa aongee kingereza katika kikao.
La maana kazi, ukivumilia utakula kidogo maana benki inakua na kuna opportunities sana.
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,118

duh!mkuu 360,000/= duh 80,000,000/= kwa muda huo si hatari hii mkuu duh!
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,118
2,000
Wana jamvi naombeni kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa mshahara wa Client Officer at Advans Bank. Kuna ndugu yangu kaniambia miezi mitatu ya mwanzo hawalipi mshahara wanalipa posho tu, je kuna ukweli katika hili? Naombeni msaada tafadhali.

Nawasilisha.

mkuu umeitwa nn?binafsi nimeitwa kwa hiyo post lakini mdau hapa kanitisha!duh 360,000/= ngoja nikatafute shule ya kufundisha!
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,968
2,000
Siku hizi kila mwairi anafikiria kuwabana employees wake ili abane matumizi na hatimaye atengeneze super profit.
 
Gogadi

Senior Member
Nov 15, 2012
121
170
Wadau vp kuhusu Client Assistant washaita hawa jamaa?...naomba kujurishwa kama kuna mtu aliomba hii nafasi na kama kuna taarifa zozote...any info wana jf.
 
soyuz

Senior Member
Oct 4, 2013
154
225
Hahahahahha!! Wewe kazi si mfanyaji? We ulijua kazi iko mwanza kwann uliomba? Kwanza ni wewe au mdogo wako? Sijaelewa!!

Anyway ukwel n huu, probation utakayolipwa posho na si mshahara miezi mitatu! Then probation inaanza miezi sita, hapo unatakiwa kuzalisha si chini ya 80 milioni. Hakuna insuarance na kodi na NSSF unakatwa na bonus inakatwa kodi. Take home kama sh 360000 wakati huu.

Unaweza kufukuzwa kazi saa yeyote kwa kosa dogo kama la kumuuomba mfaransa aongee kingereza katika kikao.
La maana kazi, ukivumilia utakula kidogo maana benki inakua na kuna opportunities sana.

Kiongozi - Nimeomba ya Snr DB Admninistrator kwa hiyo position wanaweza kuwa wanalipa ngapi mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom