Natafuta Kazi ya Uhariri wa Habari na Makala

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
218
250
Wadau mdogo wangu anaandika hapa naomba mwenye nafasi amsaidie au hata kumuunganisha na nafasi hiyo popote hapa nchini. Natafuta kazi ya uhariri wa habari na makala, kwenye gazeti au jarida.

Nina degree ya uandishi wa habari ya chuo kimoja hapa nchini, nimefanya kazi ya uhariri kwenye gazeti kwa zaidi ya miaka miwili na uandishi kwa zaidi ya miaka sita.

Sina itikadi ya chama chochote, ni mwanaharakati wa uwajibikaji na nimesomea pia maswala hayo. Naomba kufanya kazi hiyo kwa mkataba wa parttime na naweza kufanya hata pasipo kuwa ofisini, kwa kutumia laptop yangu.

Pia nimewahi kusimamia gazeti lote na kulihariri kwa zaidi ya mwaka nikiwa peke yangu. Mshahars maelewano.

Niachie namba humu nikuPM kwa mawasilano Mwajiri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom