Kuitwa kazini Access Bank

Kuitwa kazini Access Bank

Dochy

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Nawasalimu wana JF na polen na majukum y kila siku, wana JF naomba kwa mtu yeyote mwnye tarifa y accessbank kuhusiana na interview iliyofanyika mwanza last month kam washaita watu kwa ajil y training,,nawasilisha kwenu ndugu zangu
 
kuna jamaa nlikuwa naye nkasikia akiongelea mambo ya training. anaondoka dar in two days kwenda mwanza. sina details zaidi
 
kuna jamaa nlikuwa naye nkasikia akiongelea mambo ya training. anaondoka dar in two days kwenda mwanza. sina details zaidi
Thanks kwa tarifa mkuu,,sasa nimeelwa
 
Training ya loan officers inaanza tar26 mei. Training iliyomalizka tarehe 10 kwa marketers, cashiers na customer service oficers tayar wameitwa kazn kuanzia june. Ni mim mdau wa AccessBank
 
Training ya loan officers inaanza tar26 mei. Training iliyomalizka tarehe 10 kwa marketers, cashiers na customer service oficers tayar wameitwa kazn kuanzia june. Ni mim mdau wa AccessBank
Nimekupata mdau ,thanks kw tarifa mkuu
 
Back
Top Bottom