Mwalimu bora wa Physics huyu hapa

123cholo

Member
May 20, 2014
14
1
Ndugu zangu habari zenu
Mimi ni mwl. Wa physics mwenye uzoefu wa kutosha

Naishi dar
Mawasiliano 0716008855


NATAFUTA SEHEMU YA KUFUNDISHA KWA MAKUBALIANO SEHEMU HIYO NI KAMA
1. Shule government/private
2. Education centre
3. Kwa mtu binafsi(yaani nyumbani kwake)
Nb:Kwa mikoa iliyo karibu na Dar tuwasiliane

Kikubwa usihofu kiwango chako cha fedha tutakubaliana tu

Usihofu ondoa shaka

Cv kwa ufupi sana Nimefundisha
Malela s. School
Ilala Islamic school
Kongowe education centre
Na watu binafsi wengi
 
Nami natafuta the same job, kama mtu anahitaji competent physix and mathematics ticha pls PM my account
 
Back
Top Bottom