Wafanyakazi wa ndani wanapatikana

Wafanyakazi wa ndani wanapatikana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,771
Reaction score
32,394
kwa wale wanaohitaji mfanyakazi au wafanyakazi wa ndani wanapatikana toka mikoa ya dodoma,singida na iringa. mpaka kuletewa mfanyakazi wako utahitajika kulipa Tsh 120,000. mpaka nyumbani kwako au kuja kumchukua Ubungo. Mshahara ni makubaliano yenu wawili kabla hata hajaanza kuja mahali ulipo. kwa mawasiliano zaidi piga number 0684160222.
 
Niletee ubungo asizidi miaka 22 hata leo..afike ubungo ntakupa hela yako
 
He he he hii 120,000 ni nauli na kitu gani? Mbona wakina mama kazi ipo? Halafu akifika siku mbili anachonga tena dili ili atafutiwe pengine na anaondoka? je kuna mkataba kati yako na yeye na mteja? Una ofisi na kampuni imesajiliwa au ni kukutana Ubungo stendi? Suala wa watumishi wa ndani kwa miaka hii ni kitendawili!!! Na agents wengi ni zaidi ya vitendawili na misamiati!!! Itafika mahali tuishi kama wenzetu wa ulaya, hakuna sababu ya kutumia 120,000 kumleta mtumishi halafu unamlipa 60,000 -100,000 then anatanya tena utaratibu anaondoka ili mteja mwingine atoe 120,000 apate chake na mletaji??!!! Mbaya zaidi wanakuwa ni source ya wezi ama wao wanakuibia. Nimeshuhudia kwa marafiki zetu wengi wakipata shida sana. Ni mmoja tu so far ameishi na binti toka Agency huu ni mwaka wa 3!!! Wengine ni different stories!!Sikatishi tama hii post yako ila ni vema pia tukawa wazi.
 
Hawa wasichana wenu wezi wakubwa? Ogopa wadada wanaoletwa na hawa ma ajenti, tena wa Sinza. Ni bora ukaajiri kibaka wa ubungo utakaa chonjo. Kuna mfanyakazi mwenzetu walimletea majambazi kabisaaaaa.

Afu ukitaka kumrudisha ajenti hatokei, utasikia mwache hapo hapo anapajua kwao.

Wachukue at your own risk, walau nimekupa taarifa.

Niletee ubungo asizidi miaka 22 hata leo..afike ubungo ntakupa hela yako
 
Hawa wasichana wenu wezi wakubwa? Ogopa wadada wanaoletwa na hawa ma ajenti, tena wa Sinza. Ni bora ukaajiri kibaka wa ubungo utakaa chonjo. Kuna mfanyakazi mwenzetu walimletea majambazi kabisaaaaa.

Afu ukitaka kumrudisha ajenti hatokei, utasikia mwache hapo hapo anapajua kwao.

Wachukue at your own risk, walau nimekupa taarifa.

Ahsante kwa taarifa, mi mwenyewe nilikuwa nshahitaji...
 
kwa wale wanaohitaji mfanyakazi au wafanyakazi wa ndani wanapatikana toka mikoa ya dodoma,singida na iringa. mpaka kuletewa mfanyakazi wako utahitajika kulipa Tsh 120,000. mpaka nyumbani kwako au kuja kumchukua Ubungo. Mshahara ni makubaliano yenu wawili kabla hata hajaanza kuja mahali ulipo. kwa mawasiliano zaidi piga number 0684160222.

Wizi mtupuuuuuu
 
Hii ni biashara ya kuuza binadamu
 
Sisi aliletwa na mshiriki mwenzetu wa kanisani banaeeeee akabeba vyombo vyote vilivyokuwa ndani ya mabox akatuachia mabox tu
 
hawa wafanyakazi wanatoka mikoani. kuna ambao wamepata na hawajawa na shida nao kabisa.na hawa wasichan umri wao ni mdogo wamemaliza darasa la 7 mikoani na sasa wanahitaji kazi dar. suala la ujambazi siwezi kulijibia coz hiyo ni experience uliyokuwa nayo. suala la wafanyakazi haijalishi nani analeta na hawa wasichana ni wale ambao wewe mhusika unawasiliana nao moja kwa moja kinachotokea ni kuwa wanatafutwa mikoani huko huko unawasiliana na anayewatafuta yeye anagharamia nauli ya anapowatoa mpaka dar anakukabidhi. hapo unaweza kwenda mpiga picha na kupeleka police n.k. ukitaka agent amdhamini inakuwa ngumu coz hawa ni binadamu and yu can never guarantee a human being.kwa hiyo suala linakuwa kama unahitaji msichan wa kazi unawasiliana na mwenye number hiyo. mnakubaliana anamleta mpaka ubungo au kwako then anakukabidhi...unaposhindana na mfanyakazi wako hilo ni jambo lingine. mi nimeleta msichana toka huko ka namna hiyo nipo naye mwaka na miezi miwili sasa she works hard analeta mtoto n.k na mpaka salary nimefikia nimemwongezea. kwa hiyo mi nadhani sula la muhimu ni mtu binafsi kuamua nataka nini kwa malengo gani. tusi generalize kuwa ni majambazi au ..whatever. huu uwoga ni vyema kuwa nao lakini usitufunge kufanya mambo kwa bad experience....tungefanya hivyo hata huu utaratibu wa kununua magari kwa njia ya mtandao uliogopwa sana. hata ndege isingetengenezwa maana mara ya kwanza watu walikuwa wanaanguka n.k
 
Eti mikoani kumbe kamtoa vingunguti..wezi wakubwa baada ya mwezi mmoja unasema oh kafiwa anahitajika kwao,kumbe unamuuza sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom