Jamani mwenye taarifa na nafasi walizotoa TANROAD Songea shift- in charge.
Naomba tupeane taarifa
Hbr wadau!
Kuna nafasi za kazi zilitangazwa na TANROADs Songea mwaka huu, muda mref umepita naona kimya.
Mwenye taarifa kama walishatoa majina ya waliofanikiwa kuitwa interview naoma anijuze.
Ahsanteni.
Hahaha nendeni mkanunue Ufuta Namtumbo then mkauze Sodeko mtachelewa sana mkisubiri ajira
Jamani mwenye taarifa na nafasi walizotoa TANROAD Songea shift- in charge.
Naomba tupeane taarifa
bado hawajaita interview mkuu mimi mwenyewe niko hapa songea, niliomba weighbridge operator naendelea kusubili
Subilini kesho ntakwenda ofisini kwao kuwauliza, maana mimi hata barua ya maombi nilipeleka kwa mkono
bado hawajaita interview mkuu mimi mwenyewe niko hapa songea, niliomba weighbridge operator naendelea kusubili[/QUOTE
Asante. Wakiita tujulishane mkuu
Wametoa majina ya security guards tuu,wengine tuendelee kusubili, wameanza na walinzi kwan wao watatangulia kuanza kaz kabla ya ufunguz wa mizani.
Wametoa majina ya security guards tuu,wengine tuendelee kusubili, wameanza na walinzi kwan wao watatangulia kuanza kaz kabla ya ufunguz wa mizani.