TANESCO Interview

TANESCO Interview

saritha

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
71
Reaction score
19
TANESCO interview kwa post za HR inafanyika leo , kwa wale mliokuwa mkisubiri na hamjatumiwa msg, had next time tena...
 
Na interview ya ma Engineer pia zimefanyika, sijui kama wanaendelea kuita
 
TANESCO interview kwa post za HR inafanyika leo , kwa wale mliokuwa mkisubiri na hamjatumiwa msg, had next time tena...

zilitangazwa lini?mbona email yao ukituma inarudisha majibu kuwa imefeli kwenda.
 
Back
Top Bottom