Natafuta kazi ya Tire Fitter na Inspection

Karume kassim

Member
Oct 19, 2011
7
20
Jamani wana Jamii Forum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na nina uzoefu mkubwa wa fani hii kwa miaka 8 ambao nimeupata kaika makampuni makubwa ya matairi ikiwemo Good Year, michelin na Bridgestone hivyo nimejitokeza kwenu kutafuta nafasi hii kwa vigezo vinavyotakiwa wala sio ubabaishaji kwa mawasiliano zaidi 0786303763, 0763939194 NA KWA EMAIL Kassimkarume@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom