Mwalimu wa Mathematics

Mwalimu wa Mathematics

naaman

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
14
Reaction score
0
Mimi ni mwalimu wa somo la mathematics kuanzia darasa la tatu mpaka kidato cha nne kwa wanaohiji kufundishwa nymbani au supplimentary. Natoa hiyo huduma kwa kiasi cha sh 10000 kwa saa.

Piga simu kwa mawasiano zaidi 0712016626
 
elf kumi kwa saa? He? Inamaana ukifundisha masaa matat unachukua30? Nikiwa na watoto wawili kila siku 60?. Ntafundisha mwenyewe
 
Back
Top Bottom