Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 60
Wakuu natumia simu haipakui Pdf! naomba mwenye uwezo atuwekee hapa majina ya walioitwa usaili na utumishi....kuna tangazo jipya la usaili pale
Wakuu natumia simu haipakui Pdf! naomba mwenye uwezo atuwekee hapa majina ya walioitwa usaili na utumishi....kuna tangazo jipya la usaili pale
...nitajie jina lako linaanzia na herufi gani then nitakuwekea majina yote yanayoanzia na herufi hiyo, itakuwa vizuri PIA kama utaniambia na post uliyoomba.
ila kama utaona inafaa unaweza Ni pm full name na Mimi nitaku pm kama lipo au la.