Bado natafuta nafasi ya kazi!

Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,102
2,000
Nawasalimu.

Ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya utawala (B.A Public Administration) sina uzoefu wowote,lakini ninajituma,nina weza kufanya kazi magumu,nina utayari na haraka wa kujifunza mambo mapya,pia ni msikivu ,kwa andiko hilo natafuta fursa ya kazi,kujitolea(volunteer),ku-intern katika nafasi inayohusiana na taaluma yangu,lengo kubwa ni kupata uzoefu au pengine hata ajira.

Kwenye mwenye fursa hiyo nitaomba niwasiliane naye kupitia PM( Private message), ninaishi Dar es salaam.
 
C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,965
2,000
pole sana ndugu yangu....hayo ndo maisha....ila ushauli wangu kwa maisha sasa yamebadilika....na umri unazidi unasonga mbele.....tafuta kazi yoyote ufanye usiangalie elimu yako.....una nini umesomea ???..na wala usiangalie macho ya watu watakuonajee wakikuona unafanya kazii hii....we ili mradi mwisho unapata chochote siku hizi kuna kazi ambazo ziko wazi...

1.udalali magali bandarini.....
2.kubeba mizigo na ma boxi....bandarini
3.kubeba mizigo na ma boxi.....swizport pale uwanja wa ndege...
4.viwandani huku kuna kazi nyingi za vibarua....
5.kama ukiona mwili wako hauna nguvu....basi kuna kazi za online,unaweza kufungua kampuni yako,pia unaweza kufanya biashara na maisha yakaenda....

Ushauli wangu.....tafuta fursa...ili maisha yako yasonge mbele.....mambo ya ku volunteer mi sikushauli....utapoteza muda wakoo...bure...maana unaweza ku volunteer miaka mitatu au minne...mwisho wa siku zikitoka ajira ofisini ....ndugu walio kwenye vitengo huwaletaa ndugu zao.....
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815

Hizo kazi ulizotaja ukienda tu unapewa? hapa tanzania hakuna kazi ya bure siku hizi kama hauna mtu anayekufahamu au hauna hela,kazi mshahara wake laki moja na nusu unaambiwa uhonge lakimoja ndo upate,hizi za eltano kila siku unaambiwa utoe elf ishirini ndo upate kweli kazi ya elftano kwa siku utoe elf 20? inaamana utafanya kazi siku nne bure bila kupewa chochote,nauli je,kula itakuaje? hii TZ iache tu ipo siku
 
wiseman mic

Member
May 19, 2014
17
45
All life dond give up pray and find altenative work to do in order to improve your economy when you continue to find your specific work God be with you but me i m graduate form six i do now what happen next to me but i believe only God.
God be with you.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom