Wadau ushauri tafadhali.
Nimekua shortlisted Uhamiaji pale Uwanja wa Taifa pia nimeitwa Intavyuu private company flani hivi,
Hapa nilipo naumiza kichwa ushauri wako muhimu tafadhali ni attend ipi...
Elim kidato cha NNE
Yupo dar es salaam
Ana ndugu Wa uhakika kwa dharula yeyote.
Mwaminifu; mcheshi; mchapa kazi .(m/ mke 28 age)
WASILIANA HAPA 0714 04 50 80.
Ndugu wana Jf naomba ushauri wenu mwenzenu nilidhani katika watu ambao hawana bahati hata ya kuitwa kwenye watu 10000 ndipo nilijiona mimi ni wa kwanza nikaona haya mambo meusi kabisa. sasa leo...
Wanatafutwa wasichana wa kufanya kazi za ndani (House Girls). Awe na miaka 18 na kuendelea, Elimu ya darasa la 7 na kuendelea, awe mchapa kazi na mwaminifu. Awe tayari kuishi huko huko kwa...
jamani wandugu mnakumbuka interview kama hii ya kwetu iliyofanyika kule Nigeria mwezi wa 3, 2014, kulikuwa na idadi ya zaidi ya 10000 candidates, in short it was a written interview wakati wa...
Now i believe wen u have a job it's easy to get another one.. Hi hi hi, nimekuwa niki-apply job nyingi sana kwa zoom, so nilipata job kwa kampuni flani hivi, toka nimeanza job nimekuwa naitwa...
Kuna baadhi ya watu huamini wanaweza kupata pesa kwa kutangaza hizi link, ukweli ni kwamba hawa watu ni wahuni na matapeli. There is no free lunch my friends, wanaongoza kwa uhuni ni wenye link...
Kuna baadhi ya watu huamini wanaweza kupata pesa kwa kutangaza hizi link, ukweli ni kwamba hawa watu ni wahuni na matapeli. There is no free lunch my friends, wanaongoza kwa uhuni ni wenye link...
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.
Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa...
Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi za kusambaza vyombo Dar, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho ya siku ni elfu sita. MAWASILIANO 0718751075
Nimeitwa interview alhamisi tarehe 12 june 2014 tanzania postal bank, post ya credit officer group lending. Jamani wanalipa kiasi gani kwa hii post?? Salary na allowance?
Thanks
DEAR READER,
HERE IS AN OPPORTUNITY FOR YOU TO INVOLVE YOUR SELF IN A PAYING NETWORKING BUSINESS WITH ANGEL LIFESTYLE COMPANY THAT DEALS WITH SELLING WOMEN AND MEN CLOTHES (FROM OFFICIAL TO...
Waalim wa masomo hayo wanahitajika GREEN BIRD SCHOOLS MWANGA KILIMANJARO
Qualification :diploma or degree
Experience : not necessary but ll add value in your application
Interview : 30th june...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.