Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Kuna baadhi ya watu huamini wanaweza kupata pesa kwa kutangaza hizi link, ukweli ni kwamba hawa watu ni wahuni na matapeli. There is no free lunch my friends, wanaongoza kwa uhuni ni wenye link hii maana hawa ndio hawawalipi watu kabisa http://yourjobpay.com
Tujikite kwenye kujiajiri jamani na si kufata huu upuuzi.
Tujikite kwenye kujiajiri jamani na si kufata huu upuuzi.