Angalau utumishi wameskia kilio changu

Angalau utumishi wameskia kilio changu

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,730
Reaction score
2,266
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.

Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa,.

Interview moja nimefanya jumamosi iliyopita pale nyang'ombe chuo na sasa nimeitwa tena jumamosi ijayo pale pale chang'ombe,.
Heshima kwenu wanajf kwa kunipa moyo.
 
Big up zitendee haki hizo interview na hopefully utafanikiwa
 
kuomba mungu 2 maana hii nchi kazi kupeana wanaweza kuita kam sheria,Endapo ukipata hiyo kazi basi nami ntaomba kazi utumishi.
 
kweli mkuu wacha niombe Mungu sana aonyeshe njia
 
Mkuu wewe ni mbinafsi sana,mbaki kitu kiwe kizuri kwa upande wako ndiyo kinakuwa cha maana.Kikiwa kizuri kwa watanzania wengi kinakuwa hakina maana!!
 
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.

Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa,.

Interview moja nimefanya jumamosi iliyopita pale nyang'ombe chuo na sasa nimeitwa tena jumamosi ijayo pale pale chang'ombe,.
Heshima kwenu wanajf kwa kunipa moyo.
Mkuu hizo spelling mistakes kama ni written interview zitakukost, jipange vizuri ndugu!!!!

Mungu akujalie upate ajira maana kila jambo na wakati wake amini sasa wakati wako umefika na umkwenda kujitetea tu kwa nini unafaa kwa kazi uliyoomba. Mungu antaka tufanikiwe na tufanye kazi ili tufurahie maisha jipe moyo mwanangu
 
post gani mkuu?maana naona web site zao zinazingua kweli,afu hii tume ya ajira naona ishakuwa janga lingine hivi cku mbili nitatoka NGARA HUKU niwahi munjini dsm?msifikiri kila moja anakaa dsm wengine tumekimbia kulala kwenye sofa hapo dsm hali ya kuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka kwa WENGI NE HAPANA.
 
Mkuu wewe ni mbinafsi sana,mbaki kitu kiwe kizuri kwa upande wako ndiyo kinakuwa cha maana.Kikiwa kizuri kwa watanzania wengi kinakuwa hakina maana!!

haya bana samahani ila nilikua natoa taarifa kama umechukia sorry,..
 
Sina sababu ya kuchukia kwani hayo ndiyo maendeleo,hoja yangu ni kwamba ni vema kutambua kuwa unapokuwa hauitwi kwenye interview,ujue kuwa kuna watanzania wenzako wameitwa kwenye kwenye hiyo interview!na kwa upande mwingine,unapoitwa wewe kwenye interview ujue kuna wenzio hawajaitwa kwenye interview!kwa hiyo hukuwa na sababu ya kuacha kuomba kazi Tume ya Utumishi wa Umma!
 
post gani mkuu?maana naona web site zao zinazingua kweli,afu hii tume ya ajira naona ishakuwa janga lingine hivi cku mbili nitatoka NGARA HUKU niwahi munjini dsm?msifikiri kila moja anakaa dsm wengine tumekimbia kulala kwenye sofa hapo dsm hali ya kuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka kwa WENGI NE HAPANA.

kaka nipo internal audit, saa5 mi nipo geto apa dsm karibia nikupe hifazi
 
post gani mkuu?maana naona web site zao zinazingua kweli,afu hii tume ya ajira naona ishakuwa janga lingine hivi cku mbili nitatoka NGARA HUKU niwahi munjini dsm?msifikiri kila moja anakaa dsm wengine tumekimbia kulala kwenye sofa hapo dsm hali ya kuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka kwa WENGI NE HAPANA.

Mkuu HANDO Umeniacha hoi sana kiukweli hapo kweye mwisho kulala wa kwanza kuamka dah! Umenikumbusha mbali kidogo nakutakia kila kheri mkuu ufanikiwe dah!
 
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.

Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa,.

Interview moja nimefanya jumamosi iliyopita pale nyang'ombe chuo na sasa nimeitwa tena jumamosi ijayo pale pale chang'ombe,.
Heshima kwenu wanajf kwa kunipa moyo.

Hongera sana na tunakutakia kila lililo la mafanikio.
Vipi hapo kwenye red, Majibu ya usaili huo walitoa siku ile ile au la? Je wamesha-shortlist watu wa kuingia kwenye oral interview? Je una-idea juu ya interview ya tar 15 december, watatoa majibu siku hiyohiyo au basi siku itayofuata? ama ndo kufanya na kuondoka?

Nauliza hivi ili nijue kisha nijipange muda ntakao kaa Dar(gharama na muda)
 
majibu ndi wanatoa leo jumanne, kaka sina idea yoyote juu ya interview ya jumamosi ijayo ila inabidi usome sana kazi za hiyo kaba uliyoitwa hawatoki nje ya apo
 
Nashukuru sana kwa ushauri. kiukweli umeniongezea ari ya kusoma
 
Mkuu wewe ni mbinafsi sana,mbaki kitu kiwe kizuri kwa upande wako ndiyo kinakuwa cha maana.Kikiwa kizuri kwa watanzania wengi kinakuwa hakina maana!!
Mwambieeeeeeeeee...Watu wengine kazi kulalamika tu hata kama hawana sifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom