Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Leo nilikuwa miongoni mwa wasahili wa pale taasisi ya elimu ya watu wazima, wakati wa kufanya usahili wa kuandika kuna hesabu zilikuwepo mule sasa kwa bahati mbaya sikuwa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Walimu wa chemistry, biology, kiswahili, geography, mathematics na phyisics wanahitajika. Greenbird Schools Mwanga Kilimanjaro Qualification : diploma to degree level or equivalent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nishafanya usaili zaidi ya 10,moja tu ndo nimepata kazi!! Katika hizo chance nilizopiga usaili,ni HR mmoja tu ndo alinipa mrejesho! Mrejesho wenyewe ulikua -ve Ombi langu nyie afisa waandamizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Sorry kuna mtu kafanikiwa kufungua website ya tume ya ajira leo, www.ajira.go.tz? Sijui ni kifaa changu ndio tatizo au wote?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wana JF, naombeni kuuliza wadau, eti zile nafasi walizotangaza World Vision amabazo deadline ilikua tarehe mbili mwezi huu, kuna ambae ameitwa kwenye intreview kwa walioapply. Naombeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am searching a professional with qualification in sociology, social work, development studies or community development, someone with experience in child protection, gender, GbV or VAC is...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu zaidi ya 500 yanachuana kwa oral pale maktaba kuu ya Taifa tuwaombee haki itendeke jamani.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zangu nina ujuzi mkubwa wa mikopo , uhasibu ,kufundisha masomo ya biashara lakini mpaka sasa sina kazi nisaidieni jamani nina degree ya management and accounting. Napatikana Mwanza.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wahitimu wa ngazi ya cheti, diploma na degree kwa fani za biashara, mipango kazi na maendeleo ya jamii mnaopatikana Tunduma na maeneo ya jirani naomba tuwasiliane nina wazo la kuwa na kikundi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitwa Nasoro Masoud natafuta kazi moja wapo kati ya records management au office assistant au data entry. Nimesomea records management assistant nakufauru ngazi ya cheti pia nina vyeti viwili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu? nadhani watu wote tunajua kua sabasaba inakaribia na kwa sisi vijana tusio na kazi ndo hua tunaangalia nafasi za vibarua japo tupate hela za sikukuuu. Hivyo kwa yeyote...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hello wanajamvi, hope mko pouwa! Jamani naomba kuuliza kwawale walofanya Oral interview ya customer service Technobrain jumamosi vp kunaambaye ameshapigiwa simu? akina renyo na wengine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nilikuwa naomba msaada wa writen interview za sekretariati ya ajira position ya finance officer II maswali yao yakoje? writen na oral msaada kwa wakongwe
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Swala la ajira nchini linakuwa gumu sana kwa kadri maisha yanavyoendelea.? Wana JF tusaidiane mawazo nini cha kufanya katika nyakati hizi ili tujikomboe na uzito wa maisha haya.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anahitajika mwalimu wa physics katika shule ya secondary living stone boys seminary, shule ipo maeneo ya Muheza mjini mkoani Tanga. Tunatoa mshahara mzuri kwa mtu atakaye kizi vigezo vyetu. Mbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana mda wa saa saba jamaa yangu alipigiwa kuripoti leo saa mbili asubuhi, je ni kwamba wameanza kuita waombaji wa dar mikoani baadaye? anayejua anipe ripoti
0 Reactions
57 Replies
14K Views
Kila nafasi moja inawaniwa na watu 154 na hivyo kufanya chance ya kupata kwa kila anayewania 0.00647. Tukaze buti pale uwanja wa taifa. Mambo si rahisi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ebwana ee mliofanya oral, leo wameita, kesho saa 11am muwe pale, nani atumie jina langu me nimekula shavu pande ingine.....
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Jaman h
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za leo wapendwa wa JF, Naomba kuuliza ili niweze kupewa japo mwongozo kwa hilo swala linalonisumbua. Kuna rafiki ngu aliomba msaada yeye alifiwa na mme wake, mme wake alikuwa mtumishi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom