Nafasi za kazi-ABS

Ommylady

Member
Dec 3, 2013
23
4
Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi za kusambaza vyombo Dar, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho ya siku ni elfu sita. MAWASILIANO 0718751075
 
mkuu niko hapa kijana wa kazi, ninauzoefu wa kutosha kuhusu hizo biashara
ni mcheshi ..kiufupi nazijua mbinu zote za kumshawishi mnunuzi
sijui uko wapi bosi wangu, we niambie tu siku yoyote nianze kazi niko tayari
plz mawasiliano muhim bosio wangu!
Ahsante
 
Mtoa nafasi za kazi hayupo makini

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hahahhahah a hahahha hahaha wana jf bana..hvy vyomb vina thamani gani hadi kila siku upepewe elfu 6 ambayo ni kama laki 3 kwa mwezi kama weekend huendi kusambaza, na kale ka laki mbili zinakua tano hizo..hv ni vyombo vipya isdhani kama ni mabeseni haya haya ya buku buku ya mtaani na chupa za chai za elfu 8 8...mtoa mada naona ameamua kuja kutupa raha ya jumanne ...
 
Back
Top Bottom