Nimeitwa kwenye usahili sehemu mbili tofauti siku moja

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,136
3,521
Wadau ushauri tafadhali.
Nimekua shortlisted Uhamiaji pale Uwanja wa Taifa pia nimeitwa Intavyuu private company flani hivi,
Hapa nilipo naumiza kichwa ushauri wako muhimu tafadhali ni attend ipi niache ipi?
 
Kama Uhamiaji una mchongo nenda, ila kama kavu, jiendee kwenye "KampuniFlaniHivi".
 
Angalia wapi kuna probability kubwa...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Me nadhani kama ni mtoto wa mkulima means huna m2 pale uhamiaji,simply nenda huko private mana kila k2 kinajulikana kipoje kuh.pale uhamiaj dont waste u a tim
 
Kama inawezekana waombe io kampuni kwamba unaomba ufanye intervie next day kama itawezekana....kama haiuwezekani......
 
Endapo huja confirm your attendance you may end up attending both by responding to the private company uwaombe wakubadilishie muda ama siku kabisa, toa sababu nzito - kisha nenda uhamiaji siku uliyopangiwa. Try that and see. Kama private co watakataa kuna walakini already
 
Cheki hiyo private company iko vizuri au la pia cheki mchakato jinsi unavyownda kiukweli kama uhamiaji huna mchongo ni kupoteza muda tu chapa rapa
 
Wadau ushauri tafadhali.
Nimekua shortlisted Uhamiaji pale Uwanja wa Taifa pia nimeitwa Intavyuu private company flani hivi,
Hapa nilipo naumiza kichwa ushauri wako muhimu tafadhali ni attend ipi niache ipi?

hiyo ya mass interview uwanja wa Taifa maana hawawezi kukusubiri... ila wale kampuni flani hivi negotiate nao.. ikiwezekana waombe masaa mawili ya kufika maana una uko on the way from mtwara... weka kakizungu kidogo.... wambie utafanya kila uwezalo ufike lakini utachelewa... na ukienda kule uwanja wa sega dance jitahidi uwe mbele ili ukimalizana tu fasta unasepa kwa kampuni flani hivi..... kumbuka kununua ka kitambaa ka kufuta jasho na sio kale ka taulo taulo ka sh 500.... jasho la kwapa na la mgongoni ni soo kwa interview
 
kaka piga chini uhamiaji unafikir utapita kam huna mchongo na mtu kule ww wanatakiwa.70 walioitwa zaidi ya 12000 utapita kweli
 
kama huna kaz kabsa upo mtaan nenda private kwanza, kama una kaz tayar unatafuta security job nenda uhamiaji
 
Me nadhani kama ni mtoto wa mkulima means huna m2 pale uhamiaji,simply nenda huko private mana kila k2 kinajulikana kipoje kuh.pale uhamiaj dont waste u a tim
Ahsante mdau svoca
 
Last edited by a moderator:
Endapo huja confirm your attendance you may end up attending both by responding to the private company uwaombe wakubadilishie muda ama siku kabisa, toa sababu nzito - kisha nenda uhamiaji siku uliyopangiwa. Try that and see. Kama private co watakataa kuna walakini already
I've already confirmed to attend on the same day. Can I make a call and giv an excuse about postponding the day?
Vipi wakighairi kabisa?
 
Kama ulisha comfirm to attend on both interviews don't bother making phone calls...u might ruin everything....chagua moja tu apo..choose wisely
 
Back
Top Bottom