SANCTIONS MANAGER
Qualifications: Bachelors degree in Commercial,Accountancy Audit or equivalent
Apply: Senior Human Resources Business Partner
National Bank of Commerce
Box 1863 ,Dar es...
Do you have relatives who wish to have Advanced Maths lessons at home?
OR
Have you ever wished to have Advanced Maths lessons at home?
For Maths lessons at home contact us through...
Ndugu zangu, mimi ni mhandisi mtarajiwa wa shahada ya kwanza ya sayansi uhandisi migodi (madini) (Bsc in mining engineering), naomba mtu anisaidie sababu sina pa kuanzia ifikapo mwezi wa saba.
Tunatafuta supplier wa sweet soy sauce. Kama unajua mtu ambaye anaweza kusupply hii products tupe contacts zake . Eneo ni Dar es Salaam Masaki.
Thank.
NB:sitaki salty soy sauce nataka sweet soy...
tunatafuta editor wa website ambaye amewahi kufanya editor wa site kabla kwenye kampuni ingine
sifa
awe ana jua kuhusu websdesigns
awe mtu wa kujua storiii zinazoendelea na stori mpya
awe...
Wana-JF,
Nina ndugu yangu ambaye ni wa jinsia wa kike. Ana elimu ya Advance Diploma ya Accounting, anaishi Mwanza. Amekuwa akitafuta kazi muda mrefu sana na hata interviews amekuwa akihudhuria...
Tunatafuta waandishi wa habari wenye uwezo wa kutafuta na kuleta stori kwa ajili ya gazeti na website yetu
Sifa
Awe ana diploma au digrii ya uandishi wa habari
Awe ana speed ya kutype kwa...
Natafuta kazi moja kazi ya hizi Records Management Assistant, Office Asstast au Data Entry. pia nina knowledge ya computer nimesomea katika chuo cha university of Dar es Salaam Computer centre MS...
Anahitajika msichana wa kazi ya stationery haraka.
Awe na ujuzi wa
1. Computer application, that is; word 2007, Excel 2007 and Publisher
2. Photocopy Machine application. Photocopying and...
Mimi nataka kuomba nafasi ya data entry clerk iliyotangazwa na ubalozi wa marekani lakini kuna maswali yamenishinda jamani. Kama umebahatika kuiona ile form inayoitwa DS-174 ina maswali kama...
Katika utafiti niliofanya nimegundua vijana zaidi ya laki moja hawana ajira, naukitaka kuthibitisha hili angalia vijana walioitwa kwenye usaili wa uhamiaji ni zaidi ya elfu kumi. Na hapo wamefanya...
POSITION DESCRIPTION:
INFOTECH TECHNOLOGIES is a new IT company that is situated at Mwanza city near to Nyamagana stadium close to TTCL Mwanzabranch,
A company is seeking IT Support Officer to...
Habari wadau,
Kwa wale wenye taarifa mwageni hapa, mshahara wa uhamiaji kwa graduate (mkaguzi msaidizi) ni shilingi ngapi kwa mwezi??
Koplo na Constable nao wanalipwa shilingi ngapi?
Kama...
Wakuu, hivi watumishi wa bunge (non MPs) scale salary yao na kiwango cha posho na malazi inaanzia ngapi kwa mtu mwenye diploma na bachelor?
Nahitaji kujua kama viwango vyao vya mishahara...
Habari,Mimi nimemaliza shahada ya uhasibu na nina module E ya CPA.ninasubiria majibu ya module F.ninaomba kazi kwenye auditing firm hata bure ili nipate uzoefu maana sijawahi kufanya kazi yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.