Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 901
Now i believe wen u have a job it's easy to get another one.. Hi hi hi, nimekuwa niki-apply job nyingi sana kwa zoom, so nilipata job kwa kampuni flani hivi, toka nimeanza job nimekuwa naitwa kwa interview nyingi sana, so hii nimeona kushare nanyi wana jamii.. Seaclif casino wanataka cashier na mshahara wa kuanzia ni 250 lanch hukohuko... So kama upo tayari nenda head offisi kesho kuanzia saa 11am-12pm kwa ajili ya interview, make sure umombo aka kikiristo kimesimama coz hr sijui anatoka ukrain?? Sure dili no jokes..... Mnipe updates