Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta house girl asiwe na mtoto,asiwe mgonjwa, asiwe mtoto sana,kazi ni kupika,kufanya usafi nakazi ndogo ndogo ,asiwe mvivu mshahara mzuri awe msafi aliye tayari anicheki 0683142500. Mahali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ajira hamna,tukio lililofanyika taifa limenisikitisha sana. Mimi ni mmoja kati ya vijana ambao hawana ajira, nimeshaomba mpaka ajira ya kuuza biashara za mtu nikakosa. Nilichoamua ni kurudi...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanajamii kama kuna mtu anajua college yoyote wanayohitaji walimu wa masomo ya Mathematics, Research Methodology na mengineyo anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani tujuzane nin kinaendelea baada ya oral interview
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau, jaman kuna yeyote aliepigiwa simu leo kwa Graduate Programs Serengeti brewery? Wamesema jumatatu tuende saa ngapi na tubebe vitu gani?? NILIACHA SIMU DOGO AKAPOKEA HAKUMUELEWA VIZURI...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
The primary role of the business admin is to control and organise the activities of a business. Other responsibilities include closing deals for the business and services, and dealing with public...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Toka wiki iliyopita kuna mtu/watu wamekuwa wakipigia fresh graduate simu hasa wa UDSM, namba ni ya tigo inaishia na 99. Ukipokea simu anajitambulisha kuwa.umepokea simu kutoka utumishi wa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Je umeshamaliza chuo (recently) na umesomea project management, social work, communication, community development na unataka kufanya kazi (with youth) kama intern hapa Dar kwa miezi kama 5...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ila kiukweli inakatisha tamaa mmh heee, hadi nilio soma nao primary nawaona eee hii ni kumbukumbu ya dunia UHAMIAJIJuuu
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Anayehitaji mtu wa Graphics Design nipo tayari 0714442267/danieljmwita@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wakuu, Bado hatujapata Hotel Managers and Salesmen and women Tafadhali kama una uzoefu au unamjua mwenye uzoefu mwambie au tuma CV kwenda info@lenjen.co.tz au recruitment@lenjen.co.tz
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari za mchana huu.... Mwenzenu nataka niombe internship UNHCR..mwenye uzoefu au anayelijua hili shirika kwa sehemu anisaidie kunieleza mambo machache anayoyajua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT FOR TANZANIAN CITIZEN ONLY Background – TANESCO Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT FOR TANZANIAN CITIZEN ONLY Background – TANESCO Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT FOR TANZANIAN CITIZEN ONLY Background – TANESCO Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Thank you for your application. I regret to inform you that we do not have vacancy in Tanzania but at the moment we do happen to have requirement to send workers to work in a fishing company in...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Wadau mlioanza kupiga interview uhamiaji, imekuaje ndugu, tupeni picha nasi tunaosubiri siku nyingine!
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ninandugu yangu jinsia ya kike, anadegree ya social protection, anatafuta kazi yupo mwanza.. Tafadhali msaada wakuu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
GUYS nasikia wizara ya afrika mashariki imeita watu,plz nijuzeni maana mimi computer yangu haifungui kwenye ajira.go.tz so naomba mtu atupie humu jamvini anisaidie kuona hapo. samahani wakuu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nmeitwa interview utumishi kama afisa maendeleo ya jamii na afisa maendeleo ya vijana kwa aluefanya naomba possible qns kwa oral na written
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom