Kuitwa kazini

hongera we nenda c watakuambia nn cha kulipwa ukianza pale ila jamajaa inasemekana ni kat ya nne unusu had tano unusu kwa mwez ktk hyo pos.
 
Ulifukuzwa pale EFC?, Elimu yako je?:israel:, utendaji kazi?... Subiri maafisa mikopo wenzako waje.

Kaka nili resign tena kwakutoa resignation letter ya 24hourz! Sikufukuzwa but niliacha kutokana na kua nilipewa target with no means of achieving given target!
 
Kaka nili resign tena kwakutoa resignation letter ya 24hourz! Sikufukuzwa but niliacha kutokana na kua nilipewa target with no means of achieving given target!
Aisee kaka credit officer is all about meet the target, Jitahidi tu kupiga mzigo,meet target ndio utaenjoy u credit officer, otherwise itakuwa kama EFC
 
Jaman habari za kwenu!

Nilifanya interview pale finca dar sasa nimepigiwa simu kua nimefauru interview so nabidi niende training! Post ni credit officer! Jaman nambie payment zao na kazi yenyewe ilivo kwa walio wahi kufanya FINCA! Kumbuka pia nilisha wah fanya kazi ya uafisa mikopo kwa mwezi mmoja pale EFC kijitonyama nkaacha kazi!

Je FINCA kukoje wadau!?

hongera..nenda karipot mambo mengine utayajua hukohuko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom