shemweta91
Senior Member
- Sep 4, 2013
- 101
- 18
Habari zenu ndugu zangu? nadhani watu wote tunajua kua sabasaba inakaribia na kwa sisi vijana tusio na kazi ndo hua tunaangalia nafasi za vibarua japo tupate hela za sikukuuu.
Hivyo kwa yeyote anaejua kua kuna utaratibu gani wa kufata ili kuweza kibarua hata cha kukata tiketi pale tujuzane mapema wajameni.
Hivyo kwa yeyote anaejua kua kuna utaratibu gani wa kufata ili kuweza kibarua hata cha kukata tiketi pale tujuzane mapema wajameni.