Mangungu
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 2,404
- 3,061
Nishafanya usaili zaidi ya 10,moja tu ndo nimepata kazi!!
Katika hizo chance nilizopiga usaili,ni HR mmoja tu ndo alinipa mrejesho! Mrejesho wenyewe ulikua -ve
Ombi langu nyie afisa waandamizi waajiri,tukipiga usaili tupeni mirejesho!! Ntaupokea tu,iwe +ve au -ve ,kuliko kukaa kimya!
Hii itanisaidia kuweza kujua wapi nilikosea kwenye usaili!!
Nawatakiwa usaili mwema wa Afisa Mkaguzi wa uhamiaji!