Supplier anatafutwa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,407
Tunatafuta supplier wa sweet soy sauce. Kama unajua mtu ambaye anaweza kusupply hii products tupe contacts zake . Eneo ni Dar es Salaam Masaki.
Thank.

NB:sitaki salty soy sauce nataka sweet soy sauce.

Viva JF
 
Ndio madude gani hayo mkuu Saint Ivuga ?yanaweza saidia kuongeza nguvu za kiume?

Hizo ni sauce kaka . Kama maionaise, ketchup etc ..
Natafuta supplier kumbuka ni kazi ya kudumu na kama ana products zingine i mean sauce naweza. Kumpa deal kubwa akawa ana supply. Ni mchongo wa maana sana.
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni sauce kaka . Kama maionaise, ketchup etc ..
Natafuta supplier kumbuka ni kazi ya kudumu na kama ana products zingine i mean sauce naweza. Kumpa deal kubwa akawa ana supply. Ni mchongo wa maana sana.
Ahahahahahahahaaa!
Supu ya pweza na mihogo tenda yake itatoka lini?ikitoka hiyo nijulishe Mkuu!!
Ayo mengine mie siyajui,nisije leta kitu tofauti.
 
Back
Top Bottom