Wakurugenzi na waajiri wote naomba msaada

Nov 10, 2013
23
3
Ninao ujuz ufuatao;

>Computer & internet, ms,excel,publisher, etc

>Dereva mzuri wa bodaboda

>Naweza kutengeneza simu

> Ni photographer mzuri sana, pia ninaweza kucheza kiasi na adobeephotoshop,premiere na video editor.

Hitaji langu kwa sasa nipate iwe kaz au kibarua, proffesional yangu ni degree utalii.

Karibuni wadau kwa msaada kwa kijana wenu.
 
Back
Top Bottom