Ndugu zangu, mimi ni mhandisi mtarajiwa wa shahada ya kwanza ya sayansi uhandisi migodi (madini) (Bsc in mining engineering), naomba mtu anisaidie sababu sina pa kuanzia ifikapo mwezi wa saba.
Nashukuru sana, ubarikiwe.Kama upo UDSM, Coet kwenye college zenu hua wanawekaga matangazo ya kazi za kwenye migodi, au library sehemu ya wanakofanyia applications za post-graduate..kama hapo hapo...wewe kua na modem, laptop na bundle yako sikilizia kila baada ya siku mbili tembelea zoomtanzania...Muombe Mungu mwaka hauishi utashine tu yani...Over...!!