Natafuta kazi ya Records Management au Office Assistant au Data Entry

NASOROBACHU

Member
Jun 5, 2014
8
0
Natafuta kazi moja kazi ya hizi Records Management Assistant, Office Asstast au Data Entry. pia nina knowledge ya computer nimesomea katika chuo cha university of Dar es Salaam Computer centre MS Word, Excel, Internet and email pia niko sawa nimeambatanisha na cv yangu hapo chini
 

Attachments

  • Nassoro Masoud CV.doc
    53 KB · Views: 106
Duh!

Kweli umedhamiria, isipokuwa kama interest yako kuwa data clerk unahitaji additional skills za any data entry/database software kama Ms acsess, Epi Info, Epi Data......etc.

Nakushauri, tafuta kampuni au taasisi za utafiti kama ICAP,CTC Clinic ,IHI,NIMR na zinazofanana na hizo na uombe kujitolea ili kupata kauzoefu ka kuingiza data...

Kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom