Natafuta kazi Auditing Firm

Natafuta kazi Auditing Firm

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
563
Habari,Mimi nimemaliza shahada ya uhasibu na nina module E ya CPA.ninasubiria majibu ya module F.ninaomba kazi kwenye auditing firm hata bure ili nipate uzoefu maana sijawahi kufanya kazi yeyote ya auditing
 
Peleka application ofisini kwao waeleze hayo
 
GPA inasomeka pia lakini?..Peleka application ofisini kwao waeleze hayo
 
Ofisi ipi mkuu

ahh mkuu hata ofisi unayotaka kufanya kazi hupajui aisee...
Ernst&Young ipo along Ali hassan mwinyi road karibu na ubalozi wa Ufaransa,Deloitte na KPMG zipo PPF Tower floor ya 8 na 10 kama sijakosea,PWC ipo Oysterbay,RSM Ashvir ipo Golden Tower cjui ndo panaitwa but besides PPF Tower...zipo auditing firm nyingi,ili hizo ndo kubwa nnazozijua,
 
Acha kujishusha kiasi hicho. Hata bure, haya nenda Ofisi yangu ya Kigoma
 
mkuu mimi mwenyewe natafuta cjapata cpa nilipata 2013
 
Habari,Mimi nimemaliza shahada ya uhasibu na nina module E ya CPA.ninasubiria majibu ya module F.ninaomba kazi kwenye auditing firm hata bure ili nipate uzoefu maana sijawahi kufanya kazi yeyote ya auditing

uzoefu utaupata ukipata ajira, maana training zipo tu mkuu.. So usiopt kupata kazi bure
 
Acha kujishusha kiasi hicho. Hata bure, haya nenda Ofisi yangu ya Kigoma

sio kujishusha ,sometime u need a starting point unakuwa volunteer mengine yatanyooka mbele kwa mbele,
 
Nenda nbaa wanakua na maombi ya firms zinazotaka watu, sio pwc and the like lakini!
 
Kaka kama uko dodoma nimeona kuna jaamaa wamejitolea coasco na sasa wamepelekwa field dar so unaweza anzia happened. Ila kama upo dar nenda kwenye tawi lao lipo upanga mbele/karibu na shaban robert utapata chance maana DG wao yupo hapo na nimtu mzuri. Ukifika muulizie RCA utasaidiwa
 
Ndio maana sikuiz nbaa wanabana maana proffesheni yao inapoteza mvuto imejaa graduates tu wasiojua lolote
 
Back
Top Bottom