Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

Gwesefe

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
680
377
Jamani wana JF, nilifanikiwa kupita katika mojawapo ya mikataba ya waliopata nafasi ya freelancer ya postal bank, haya ni baadhi tu niliyoyaona kwenye mkataba. Nitanukuu baadhi ya vipengele ni hatari.

Relationship;
"The freelancer shall work as an independent contractor without creating any employer- employee relationship whatsoever with TPB"

Benefits;
"The obligation to pay income tax and any kind of tax on such commissions paid is the responsibility of the freelancer"

"""The freelancer is not eligible on the TPB benefits which are provided to TPB employees"""""'

Termination:
"This Agreement can be terminated by either party giving 7 days written notice or by mutual agreement from both parties. However TPB reserves the right to terminate the agreement without notice at its sole discretion."

Njoo sasa kwenye commission yenyewe.

Sales Commisssion:

" freelancer will receive TZs 100,000 as commission upon reaching a target of 40 new acconts. the commission structure is elaborated well in the table below.
Fromtosales commission
40Above100,000
203950,000
1191,000

mwisho.

"Freelancer will be responsible of all the documentation and permits required by law to operate as a freelancer in accordance with TPB. All documentation costs will be the responsibility of freelancer".

Je, kwanini TPB wachezee akili za watoto wa masikini.
 
Hatariiiiiii! Kwa hiyo misr heaven utaenda mana bonge la contract hlo.
 
Naomba kujua, ivi hii banki inamilikiwa na serikali kwa % ngapi? Mikopo yao inakuwa na riba ya 22%! Naomba mtu anijuze kuhusu umiliki wa serikali hapa ili tupate pa kuanzia. Tusikubaliane na hii hali wadau
 
ahsantee, kwawale wenzangu tunasema wabeja sana! they can't be serious kwakwel......! ulete 19 customers upewe buku mokooo.... yani buku moko kabisaa.... Msitunyanyase watoto wa wanaume wenzenu jamani... bado documentation cost n ya freelancer... lets say mkataba una 3-4pgs minimum copy page moja shng 100, bado hujala nauli hujapigwajua ukapauka unaitaji mafuta, sabuni, deodorant na kapafyumu maana utakuwa unatembea kaa gari bovu, kodi ya pango na shemeji/ wifi yenu bado anataka kupiga mzinga hapo hapo kwenye buku mokooo.... Tz we have long way to go... kwakweli! Mitoto yao wanaichomeka nyadhifa kubwakubwa sie watoto wawafugaji turudi shybush tukaendeleze gwaride lakuchunga ng'ombe sio.....,?
 
Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas
 
Duuuu.Pole.Huu ukandamizaji haufai.Hata sheria za wizara ya kazi zinawabana private company wawe na kiwango fulani cha malipo iweje hawa wajichukulie sheria
 
We got the long long way to goo!? We need changes, that means we need a very big revolution, otherwise itakuwa hive daily til Jesus come, and u may go to hell tooo
 
Naomba kujua, ivi hii banki inamilikiwa na serikali kwa % ngapi? Mikopo yao inakuwa na riba ya 22%! Naomba mtu anijuze kuhusu umiliki wa serikali hapa ili tupate pa kuanzia. Tusikubaliane na hii hali wadau

inamilikiwa na serikali kwa asilimia 75, serikal ya zanzbar ina share, na umoja wa wafanyakaz wa shirika la post wana share ila ni ndogo sana.
 
Sisi tulipata watu kumi ktk tawi letu, na mikataba tulijaza tarhe 4 mwez huu, ila hadi leo tumebaki wawili tu, wengine wamesepa, mim mwenyewe nipo njiani kuacha, benk haina hata flayers, malipo kiduchu then vitu kibao mnajitegemea, kaz inahitaji kupiga simu mara kwa mara benk lakini hakuna allowance yeyote.
 
Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas

NINGEKUWA MIMI HAO WATEJA NISINGEWASILISHA KATU.. NINGEWAULIZA WATEJA 39 mnanipa sh ngapi.. then nasepa zangu na unawaambia sirud tena ahahahah dahhh buku tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom