Wanaitajika watu wangapi?
Anahitajika mtu mmoja kati ya watu 131
Nimetoka kwenye intervie now kada Afisa Ugavi msaidizi,
I thank God kila kitu kimeenda kama nilivyokusudia, nasema Ahsante Yesu! Ijapo anahitajika m2 m1 kati ya wa2 131,
Niwape matumaini wale wote walofanikiwa kushiliki, tusonge mbele mpaka kieleweke