Nina certificate ila ninauzoefu Mkubwa hata naweza kufanya vitu vingi kwenye computer kuzidi mtu mwenye diplomer au degree
Wewe kwa tunaoijua IT hauwezi kuwa fit sehemu zote hizo,
Kalale tu...
I'm looking a job
Bora hata ungesoma certificate ya clearing and forwarding!kwa sasa mtu akisoma ACCOUNTS au IT au LAW au Human Resources imekula kwake wapo wengi mtaani sana
Andika "Iam looking for a job"