new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,725
Jaman wadau? Habari za kwenu? Matumaini yangu mkopoa. Sasa naombeni mnijuze kwa alie fanya interview Equit Bank, kuna ambae ana updates ya kile kilicho kinacho endele?
Post zilitoka lini au ulipelekaga cv 2 af ukaitwa
Hata mimi nilifanya ile oral intvw ya tareh 4mwezi huu,ila naona kimya mpaka sasa, sijui bado au ndo nimekosa! CjaelewaJaman wadau? Habari za kwenu? Matumaini yangu mkopoa. Sasa naombeni mnijuze kwa alie fanya interview Equit Bank, kuna ambae ana updates ya kile kilicho kinacho endele?